Uncategorized

BADO TUNA NAFASI.

Hatuwezi kuacha umaskini uendelee kututesa kwa kisingizio chchote kile. Hebu vijana njoo tujadili na tupeane maarifa ya jinsi ya kujikwamua katika dimbwi hili la umaskini,
Mimi naamini vijana wakipewa taarifa sahihi na mbinu sahihi, wanaweza kutoa mchango mkubwa katika kutokomeza umaskin uliokithiri katika nchi hii ya tanzania.
Kijana mtanzania unafikiri ni kitu gani kifanyike au wafanyiwe vijana ili waweze kujikomboa kiuchumi na kulikomboa taifa letu katika janga la umaskini.

THE ROAD TOWARD EXCELLENCE IS ALWAYS UNDER CONTRUCTION

Advertisements
Standard

                Although there have been signs of some of African countries economies to grow, the problems of poverty and unemployent have not shown the signs to slow down.
               What are the causes of prevalent poverty and unemployment in Africa? What is the solution to these problems? What is the place of African youth in tackling these problems?
              These and other questions on how to solve poverty and unemployment problems through entrepreneurship and small business creation are going to be discussed and analysed in forum.

UKOMBOZI WA UCHUMI NA FIKRA ZA MWAFRIKA NI SASA, TUUNGANE KATIKA MAPAMBANO HAYA.

Business and Entrepreneurship

CAN AFRICAN YOUTH COME OUT OF POVERTY AND UNEMPLOYMENT CHALLENGES?

Gallery